SEKTA YA MAJI MKOANI KIGOMA.
KATIBU WA CHOMBO CHA JAMII CHA WASAMBAZAJI NA WATUMIAJI MAJI (COWSO) WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA BWANA HUSSEIN HAMZA BUSORO
HUSSEIN HAMZA KATIBU WA CHOMBO HICHO
AMEZUNGUMZIA KUHUSU JINSI MAJI YANAVYOPATIKANA KATIKA VIJIJI ANAVYO
VISIMAMIA NA KUHUSU CHANGAMOTO ANAZO KUMBANA NAZO KATIKA CHOMBO HICHO.
Wakati kiongozi huyo akiwa anahojiwa na mwandishi wetu bwana Hussein ameanza kwa kusema kwa kuvitaja vijiji hivyo anavyo visimamia katika chombo hicho cha mkongoro 1 kilichopo mkoani kigoma kuwa ni vifuatavyo;-
MKONGORO
NYAMIGUFA
MKWAGA
NYAMUHOZA
BITALE
KIBINGO
KIGANZA
MWANDIGA
KIHINGA F D C
CHANGAMOTO
1.ELIMU DUNI YA COWSO MKONGORO 1 KIGOMA VIJIJINI
2.ULIPAJI WA ADA YA (BILL YA MAJI) KWA WAKATI
3.JAMII KUKATA MITI KARIBU NA CHANZO CHA MAJI YA MTO NYETE MKONGORO 1
4.USAFIRI KWA COWSO HATUNA
5.VITENDEA KAZI
6.ELIMU DUNI YA JAMII UTUMIAJI WA VYOO
7.DAWA YA KUUA WADUDU WA MAJI HATUNA.
OMBI ALILO LIOMBA KWA WATU WOTE MTAKAO SOMA.
TUNAOMBA MUHSANI ATUSAIDIE ILI COWSO IENDELEE KUFANYA KAZI KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NAYE KWA NAMBA ZIFUATAZO;-
0757 337969 / 0783 945072