HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali pamoja na Wananchi
katika Kisomo cha hitma ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozo wakisoma hitma akiwemo aliyekuwa Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume(kushoto) Balozi Ali Karume
katika ukumbi
wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.[Picha na Ikulu.]
Waislamu
na wananchi mbali mbali wakiwa katika kisomo cha hitma ya aliyekuwa
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo
asubuhi.[Picha na Ikulu.]
Mke wa Rais Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(katikati) akiwa na
Mama Shadya Karume Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar(wa tatu kulia) Mama
Fatma Karume (wa pili kulia) Mke wa Makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Mama Zakia Bilali (kushoto) Bi Khadija Aboud (wa pili
kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM,katika hitma ya kumuombea dua
Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,iliyosomwa leo
katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka
shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid
Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilali
akiweka
shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid
Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Hamid Ameir akiweka
shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid
Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Balozi Ali Karume (Mtototo) kwa niaba ya familia akiweka
shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid
Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Wake
wa Viongozi wakiitikia dua iliyoombwa katika kaburi la Marehemu
MzeeAbeid Amani Karume baada ya hitma iliyosomwa leo katika ukumbi wa
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja na kuhudhuriwa na waislamu mbali
mbali Mjni na Vijijini,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
pamoja na Viongizi wengine wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa
zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia) baada ya kisomo cha hitma
iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Baba
Askofu wa Anglikan wa Kanisa la Mkunazini Michael Hafidh akiomba dua
wakati Viongozi mbali mbali waliofika katika kaburi la aliyekua Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha
hitma iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.[Picha na Ikulu.]
POSTED RASHID HAMZA