Ajali ya Daladala yaua watu 19 Leo jijini Mbeya
Ajali ya Daladala imeua watu 19 eneo maarufu kama Uwanja wa ndege,
Kiwila, Mkoani Mbeya baada ya daladala hiyo kutumbukia kwenye Mto.
Habari toka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta.
Ajali hii imetokea baada ya Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma
hivyo baadhi ya daladala za mjini kuamua kubeba abiria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni