WATANZANIA TUUNGANE KUENDELEZA NA KUPATA HABARI KUTOKA KWA WANANCHI WETU WA KIGOMA PAMOJA TUTASHINDA BLOGER BY; RASHID HAMZA 0672965856 MAARUFU KAMA RASHID ZAGA AU DOGO 'R'
Jumatano, 8 Aprili 2015
Jumanne, 7 Aprili 2015
MBUNGE
FILIKUNJOMBE ATEMBELEA WAGONJWA SIKU YA PASAKA
Mbunge wa Ludewa Filikunjombe akiongoza msafara wa viongozi mbali mbali akiwemo mkuu wa mkoa wa Njombe Dr Nchimbi kutembelea wagonjwa hospitali ya wilaya ya Ludewa |
Filikunjombe na Rc njombe wakitoa msaada wa vitu mbali mbali kama sabuni , mafuta na taulo kwa wagonjwa waliyelazwa hospitali ya wilaya ya Ludewa jana |
watoto wa mbunge Filikunjombe wakishirikiana na Rc njombe kutoa msaada kwa wagonjwa |
Dr nchimbi na filikunjombe wakitoa maada wa chakula na vitu mbali mbali kwa mgonjwa |
mtoto wa filikunjmbe akitoa maada wa chakula kwa mgonjwa |
rc njombe kulia akimlisha chakula mgonjwa huku mbunge filikunjombe akimsaidia kushika bakuri |
katibu mwenezi mkoa wa njombe honoratus mgaya na mkuu wa mkoa wa njombe dr nchimbi wakitoa chakula kwa wagonjwa
mkuu wa wilaya ya ludewa bw anatory chowa akitoa maada wa vitu mbali mbali kwa mgonjwa hospitali ya ludewa
filikunjombe akiwa amempakata mtoto katika hospitali ya wilaya ya ludewa |
mkuu wa mkoa njombe akila chakula na mgonjwa
filikunjombe akila chakula na mgonjwa
DC Ludewa akila chakula na mgonjwa
mwanahabari wa TBC Iren Mwakalinga akila pasaka na wagonjwa hospitali ya wilaya ya Ludewa |
mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe wa pili kulia akishiriki kula chakula na wauguzi pamoja na mmoja kati ya wanawake waliolazwa katika wodi la wanawake waliojifungua kwenye hospitali ya wilaya ya Ludewa wakati wa sikukuu ya pasaka
mwalimu DOMINIC HAULE AKILA CHAKULA NA WAGONJWA
MBUNGE FILIKUNJNOMBE KATIKATI AKILA CHAKULA NA MUUNGUZI NA MGONJWA KUSHOTO
ZIARA YA MBUNGE FILIKUNJOMBE NA RC NJOMBE KWENDA KULA CHAKULA NA WAGONJWA
FILIKUNJOMBE AKIFURAHI WAKATI WAUGUZI WA WAGONJWA WAKIMSHANGILIA |
FILIKUNJOMBE AKILA CHAKULA NA MGONJWA |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)